Kichoma-mguu, kichoma-nguo au kishona-nguo (Heteropogon contortus) ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae. Lakini majina haya hutumika vilevile kueleza mmea mwingine: Bidens pilosa, gugu baya shambani. H. contortus inatokea kanda za tropiki za Afrika, Asia ya Kusini, kaskazini kwa Australia na Oceania. Imesamba katika kanda za tropiki na nusutropiki za Asia ya Mashariki na imewasilishwa pia katika Amerika. Nyasi hili hukua katika vishungi na linaweza kufika m 1.5. Mbegu ina unywele mrefu ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa