Mlozilozi au mdobore (kutoka Kihehe; kwa lugha ya kisayansi Hagenia abyssinica) ni mti mkubwa wa familia Rosaceae.
Mti huu unatokea milimani kwa Afrika ya Kati na ya Mashariki kwa mwinuko wa 2000-3000. Urefu wake ni hadi m 20 na una shina fupi, matawi manene na gome nene linalobabadua. Unatoa mua madogo katika vishada yenye rangi ya machungwa isiyoiva hadi nyekundu-pinki.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa