Mtela (Canavalia cathartica) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae. Huitwa mpupu pia lakini tafadhali jina hili litengewe Mucuna pruriens (mpupu). Makaka na mbegu huitwa matela. Spishi hii hufananishwa mara nyingi na mbwanda (C. gladiata) lakini makaka ni mafupi na manene zaidi.
Mtela hukuzwa katika Afrika ya Mashariki kama zao la kufunikia na matandazo kijani. Huko Uhabeshi makaka mabichi na mbegu mbichi huliwa. Mimea inaweza kutumiwa kama malisho, lakini mbegu mbivu ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa