Ukindu ni jani au kitembwe cha mkindu (jina la kisayansi: Phoenix reclinata). Mmea huo, mara nyingi hupatikana katika mito, sehemu zenye kupitiwa na maji mara kwa mara.
Jani hutumika kusukia kili za kushonea vikapu, mikeka au vitanga. Kitembwe hutumika kwa kusokota kamba.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa