Miyombo ni aina za miti inayoitwa na wanabiolojia kwa jina Brachystegia. Jina la Kiswahili linatoka wingi wa jina la Kibemba: 'muombo (miombo)', lakini kwa sababu fulani wingi huu umekuwa umoja kwa Kiswahili: 'myombo (miyombo)'.
Miti hii inaunda misitu isiyo minene hasa katika mazingira makavu kiasi ya Afrika ya Mashariki na Kusini hasa katika nchi Zimbabwe, Zambia, Msumbiji, Angola, Tanzania na Malawi. Misitu ya miyombo inafunika maeneo ya kilomita za mraba milioni 5.
Misitu ya miyombo humwaga majani ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa