Dawamfadhaiko ni dawa za ugonjwa wa akili zinazotumika kupunguza mivurugo ya halihisi ya moyo, kama vile mfadhaiko mkubwa na ukataji tamaa na hali ya wasiwasi kama vile woga wa kuingiliana na watu. Dawa kama vile vizuia oksidesi vya monoamini(MAOIs), dawa dhidi ya mfadhaiko aina ya trisaikliki (TCAs), dawa dhidi ya mfadhaiko aina ya tetrasaikliki (TeCAs), vizuizi vya uchukuzi wa serotonini kinachochagua (SSRIs), na vizuizi vya uchukuzi wa serotonini-norepinefrini(SNRIs) ndizo zinazohusishwa kwa kawaida ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa