Antibiotiki (kutoka Kiingereza antibiotics, mara nyingine Kiuavijasumu) ni kemikali ambazo hutumika kuua au kuzuia ukuaji wa bakteria zinazosababisha magonjwa.
Mwanzo neno antibi otiki lilitumika kuelezea kemikali zinazotengenezwa na bakteria au kuvu, ambazo ni sumu kwa viumbehai wengine. Kwa sasa neno linatumika kujumuisha kampaundi ogania (kemikali za kaboni zinazopatikana katika viumbehai) zinazotengenezwa na zile zinazopatikana kwa kuchanganya asilia na bandia.
Antibiotiki nyingi huwa ni sumu ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa