Manganisi ni elementi na metali yenye namba atomia 25 na alama Mn katika mfumo radidia wa elementi. Ni metali kechu yenye rangi kifedha-nyeupe inayopatikana katika madini hasa pamoja na chuma na kampaundi mbalimbali.
Hutumiwa sana katika aloi za feleji pia alumini na kuongeza ugumu wa aloi.
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa