Kafeini (kutoka Kiingereza caffeine) ni dutu ya alkaloidi katika mimea mbalimbali hasa mbuni na mchai. Inaathiri neva za mwanadamu ikiondoa uchovu na kuamsha ubongo.
Matumizi yake ni hasa katika vinywaji vya kahawa, chai na kinywaji cha mate ya Amerika Kusini, lakini pia katika madawa ya tiba na vinywaji nishati (energy drinks).
Kafeini katika hali safi ni unga wa fuwele nyeupe wenye ladha chungu. Fomula yake ya kikemia ni C8H10N4O2. Inajengwa ndani ya mimea kama kinga dhidi ya wadudu maana kwao ...
Soma zaidi katika WikipediaAndika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa