Mpunga ni aina ya mimea katika familia ya manyasi (Poaceae). Spishi kadhaa zinapandwa katika sehemu mbalimbali za dunia, lakini mpunga wa kiasia ni ile ya kawaida.
Mpunga ni chanzo cha chakula kwa watu wengi duniani. Punje (mbegu) zake ni nafaka na huitwa mchele. Mchele uliopikwa ni wali.
Oryza barthii, Mpunga-porini wa kiafrika (African wild rice)
Oryza glaberrima, Mpunga wa kiafrika (African rice)
Oryza longistaminata, Mpunga stameni-ndefu (Longstamen rice)
Oryza rufipogon, Mpunga mwekundu (Red ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa