Micheri ni miti ya jenasi Prunus, na nusujenasi Cerasus. Matunda yao huitwa cheri. Kuna spishi nyingi za micheri, lakini mbili tu hupandwa sana katika Ulaya na Asia na pia katika Amerika, Australia na Afrika ya Kaskazini-magharibi: mcheri mtamu (Prunus avium) na mcheri mchachu (P. cerasus).
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa