Mwiluti, kiburabura, mkomahoya (kutoka Kisambala) au mueri (kutoka Kigikuyu: mũiri; kwa lugha ya kisayansi: Prunus africana) ni mti mkubwa kiasi wa familia Rosaceae. Hutokea milimani kwa Afrika kusini kwa Sahara. Gome lake hutumika kwa kutibu ongezeko la tezi kibofu.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa