Mchoroko (Vigna mungo na V. radiata) ni jina la spishi mbili za mimea katika familia Fabaceae unaozaa choroko, mbegu zake ndogo kuliko aina zote za maharagwe zikuazo ndani ya makaka.
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa