Mkunde (Vigna unguiculata) ni mmea wa mazao wa nusufamilia Faboideae katika familia Fabaceae (miharagwe). Mmea huu hupandwa sana katika Afrika na katika Amerika ya Kati na ya Kusini, Asia na Ulaya ya Kusini pia. Majani na mbegu zake huitwa kunde na hizi ni chakula muhimu.
Nususpishi ya mkunde, mkunde-mwitu (V. u. ssp. cylindrica), hukua porini kwa Afrika lakini hukuzwa pia kama mmea wa mazao na kutoa malisho.
Nususpishi nyingine, mkobwe (V. u. ssp. sesquipedalis), ina makaka marefu sana: sm 35-75 ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa