Pesheni (kutoka Kiingereza passion fruit, yaani 'Mateso (ya Yesu)'; kwa Kiswahili piaː karakara) ni tunda la mkarakara (au mpesheni), mmea unaotambaa ambalo ndani lina mbegu nyingi nyeusi na nyama ya nyuzinyuzi. Mara nyingi hutumiwa kutengenezea juisi. Pia pesheni ni chanzo cha carotene, vitamini C na chuma.
Pesheni au karakara jeusi (Passiflora edulis forma edulis)
Pesheni au karakara njano (P. edulis forma flavicarpa)
Pesheni au karakara tamu (P. ligularis)
Pesheni- au karakara-ndizi (P. tarminiana) ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa