Buganivilia ni jenasi ya mimea inayotoa maua yenye asili yake katika Bara la Amerika ya Kusini kuanzia Brazili na kusonga magharibi kuelekea Peru na kusini hadi Argentina kusini (Mkoa wa Chubut). Mimea hii ina maua meupe madogo. Sehemu za mimea zenye rangi kali si maua ya kweli lakini aina ya majani maalum yanayoitwa braktea. Yanahami maua.
Waandishi tofauti wanakubali kuwa kuna kati ya spishi 4 na 18 katika jenasi hii. Mimea hii iligunduliwa nchini Brazili mnamo mwaka wa 1768 na Philibert Commerçon, ...
Andika dalili au ugonjwa na usome juu ya mimea ambayo inaweza kusaidia, chapa mimea na uone magonjwa na dalili ambazo hutumiwa dhidi yake.
* Habari zote zinategemea utafiti wa kisayansi uliochapishwa